Tafuta/Search This Blog

Tuesday, November 11, 2008

Nionvyo mimi.

Huyu hapa Obama, wengine wanasema Mtanzania, wengine eti mchaga kabisa (Obamaeli) ila mimi naona anafanana na Kikwete. Angalia vizuri wakicheka.

Huyu ni Kikwete, naona pia ukimtazama haraka haraka ni kama Obama vile. Hebu toa maoni hapo, wewe unawafananishaje?

2 comments:

Anonymous said...

Kaka Obama atabaki kuwa mu-America tu, tutake tusitake. Pia sio busara sana kupoteza muda na kujifariji kwa rangi ya Obama kwani kwa kufanya hivyo ni kama kupingana na waliomchagua, naamini wenzetu wameamua kumchagua kwa kuzingatia uwezo wake wa kutawala na kuongoza, na kama ni kwa rangi yake basi lazima walirenga kuondoa kabisa racizm ambayo sisi waafrica kwa kumshangilia sana (Unnecessary) ni kama tunautukuza ubaguzi. Habari ndio hiyo.

Anonymous said...

Kweli kabisa ulivyosema! lakini kiukweli Obama ni kabila gani?