Tafuta/Search This Blog

Tuesday, March 17, 2009

Beautful Tanzania

Beautiful people





Beautiful mountains






Beautiful rivers. (Wami)




Beautiful Indian ocean.





Beautiful Hotels



Beautiful streets

Beautiful Traffic jams!
Traffic jam inasaidia sana umoja wetu maana tunapata muda wa kuwa pamoja kwa muda mrefu tukiwa njiani.
I love Tanzania with all my heart! Im proud Tanzanian!





















2 comments:

Subi Nukta said...

Si utani Shalom Broz, hao watoto hapo picha ya kwanza kabisa wanaonesha sura zilizojaa matumaini, basi tu yanakatishwa na hali halisi ya dhuluma, ni maombi yangu kuwa watakua katika jamii bora na yenye kujali zaidi utu na ubinadamu! Mungu awalinde!

Anonymous said...

Mungu ibariki Tanzania na watu wa Tanzania. Mungu tusaidie tusije tukawa affected na maendeleo.