Tafuta/Search This Blog

Tuesday, May 19, 2009

Africa VS ulaya


Sisi waAfrica bwana huwa hatuna mawazo ya kujipa shida, maisha yanakwenda kilaini. Tunavunja sheria kilaini, tunakufa kilaini, tunatafuta chakula kilaini, yaani kila kitu tunachukulia poa!!

Wazungu wameendelea, wao wanafanya kwa ujuzu zaidi hata kuiba. Hebu ona hawa badala ya kulipa kiingilio, wao wanapanda juu ya nyumba ndefu jirani ya uwanja....WIZI MTUPU, lakini wa kisasa!!


No comments: