Tafuta/Search This Blog

Monday, May 25, 2009

Hapa Tanzania Kiinglish in JANGA la Kitaifa. Kenya Kiswahili ni Janga.

NO Smoking in Swahili

After public smoking was banned in Kenya , each town clerk was assigned the
duty of posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils
posted their notice: Other councils are still working on theirs........

The Mombasa Town Clerk
wrote:  Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana
wakikiuka amri  hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.

The Kiambu Town Clerk:
Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata
huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.

The Machakos Town Clerk:
Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na
kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana .

The Kisumu Town Clerk :
Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa,
ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!

Wajir Town Clerk:
Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi
tagaamata mutu b hahala yaghe kiburuta.

Kericho Town Clerk:
Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa. Haguna!! Charipu
wee taona!!!

Kisii and Nyamira Town Clerk
Akuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana
mutakura  kiboko saa hiyo hiyo. Wote munaombua kujiatari sana.

Other Councils are still working on theirs......!!!

1 comment:

Anonymous said...

Ni kali ya mwaka, nilipoona hiki kichekesho kwenye email, karibu kazini wadhani nimepagawa. Kicheko mpaka maumivu.