Tafuta/Search This Blog

Thursday, December 17, 2009

Dada Asumpta na kaka Timo!!

Mpendwa dada yetu Asumpta hatimaye aliuaga ukapera na kuingia kwenye maisha ya ndoa na kaka Timothy tarehe 21 Novemba mwaka huu. Arusi ilifungwa katika kanisa la Zion City Church Arusha na sherehe zilifanyika katika hoteli ya Arusha Corridor Spring.

Zifuatazo ni picha za tukio hilo kubwa...


Kwa pete hii, nakupokea wewe .....!!!

Huu ni mkataba wa kisheria kwa hiyo ni lazima kuwe na signature kwamba mmekubaliana!!

Signature!!
Mambo tayari! Kanyaga twende.
Pamoja na mashahidi wao, Mr&Mrs Mngodo.
Pooooziii la bibi arusi.


Mzee wa kiwese kaka Elisha pamoja na mkewe dada Miriam...


Na hadithi imeishia hapo.
Timothy na Asumpta ni waajiriwa wa Compassion International (CIT) makao makuu.
SBP inawatakia maisha mema ya ndoa, Mungu awatangulie mpate watoto muwe na amani siku zote.
NB: Kwenu kaka Andrew Msegu na kaka Raphael Lyela... inueni macho juu maana mavuno yapo tayari!!
Siwezi kuchukiwa kwa kusema ukweli!!

No comments: