Tafuta/Search This Blog

Thursday, December 17, 2009

Mrs. Joyce Mmbaga.

Mpendwa wetu Joyce mke wa mshika dau wetu wa karibu Simon Mmbaga hatimaye aligraduate shahada yake ya kwanza aliyoisotea kwa miaka 3 katika chuo cha ushirika Moshi (MUCCOBS).
Kama kawaida SBP kwa kuzingatia mchango wa familia hii katika maendeleo ya vijana ilitia timu katika sherehe za kumpongeza dada yetu zilizofanyika katika viwanja vya Hostel ya Uhuru, Moshi. Hizi ndio picha.


Oyee!!!! Mnaziona pete lakini??


Hongera mke wangu.



Mkutano mfupi wa familia kujadili mustakabali wa digrii 2 zilizomo ndani ya familia. Baba mwenye nyumba ana digirii ya uhandisi. Familia imepata MASTERS!


CHAWASHENDO(Chama cha wazamiaji wa sherehe ndogondogo) iliwakilishwa na katibu mwenezi wao, Tangi J!!

Hongera sana dada Joy, Hongera sana Eng. Simon na hongera sana mimi kwa kuhudhuria!!

No comments: