Tafuta/Search This Blog

Tuesday, January 5, 2010

Mr and Mrs G. Lwendo

Hatimaye tarehe 3 January ilifika na arusi kati ya kaka Gee na dada Matilda ilifanyika. Picha za tukio hilo muhimu ni hizi na zitaendelea kupandishwa katika siku za karibuni.


Mr & Mrs Lwendo


Mrs Lwendo jr akimkabishi keki ya arusi Mrs Lwendo Snr.(mama mkwe)

Picha hizi ni kwa hisani ya Father Kidevu.

2 comments:

Anonymous said...

Hongera sana kwa maarusi na kwa kutimiza agano la ndoa.
Swali: Kwa nini mlichelewa kutuwekea picha wakati sisi tunasubiri kwa hamu hivyo kuona mmeremeto? teh teh teh, najua mlikuwa bize na sherehe taimu ikawa not richabo kabisa, ila nashukuru niliziona picha jana kwenye blogu ya kaka Mroki Mr Kidevu.

Hongereni sana wanafamilia wapya!

Anonymous said...

this i gud, (WATOTO WA MATHABAHUNI),i like it , well keepn on enjoying the freedom to dwell in the garden like Adam & Eve...It feels good to be 1+1=1.

PrayG.