Tafuta/Search This Blog

Sunday, January 10, 2010

Picha zaidi za kumeremeta kwa kaka Gee na dada Matilda


Viapo vya ndoa.


Kwa pete hii ninakuchukua wewe Matilda.



Kwa pete hii ninakuchukua wewe Godlove


Nitakupenda na kukutunza.


Maombi kutoka kwa wachungaji, Mchungaji Titus Mkama na Askofu Magnus Mhiche.

signing of the contract

pamoja na wasindikizaji.

1 comment:

Anonymous said...

it was such a very blessed day for both of u, maty and gody. ninyi ni watoto wa wachungaji, nendeni mnauishi huo wasifu katika kweli yote. MUNGU ailinde ndoa. natamani muende wote uk, gody usibaki peke yako. Lakini vyovyote mtakavyokubaliana, BWANA awaongoze. Nawapenda sana.