Tafuta/Search This Blog

Saturday, January 16, 2010

SBP in Zanzibar

SBP ilipata nafasi ya kutembelea zenji na kujionea mambo mbalimbali yaliyopo huko Zenji. Kuna vivutio vingi kwa kweli na kwa kuwa SBP inencourge utalii wa ndani, tunapenda kuwashauri waTanzania wenzetu na wageni pia kwenda kutembelea Zanzibar.


Hizi ni baadhi ya picha za huko.


Kanisa la Anglikana Zanzibar, eneo lililokuwa ni soko la watumwa.

Bustani ya Forodhani.

Watoto wakiwa wanacheza ufukweni, forodhani.

Mnazi wa ajabu


vyakula vya pwani.


wadudu au samaki?


Kamba kochi

Ze pwezazzz!
Baada ya misosi msisimko ni kulala katika upepo mwanana wa Zanzibar.

1 comment:

Anonymous said...

Fantastic.