Tafuta/Search This Blog

Sunday, January 31, 2010

PV BADO IPO

Kwa wale mnaokifahamu kikundi hiki cha uimbaji na labda mnafikiria kwamba hakipo au kimekufa tunapenda kuwataarifu kwamba kikundi hiki kipo hai sana tu na picha hii walip[iga katika mojawapo ya performances zao za mwaka huu mwezi huu tena!
PV IPO!!!

7 comments:

Mrs Gee said...

Well done PV,That was such a great performance u did on the 3rd. Keep it up please and may God continue to bless and annoint u, may u stand stil even when strong storm draws near, for God will lead u through,love u and graat to be part of u.

New PV member (by marriage)
Mrs Gee.

Anonymous said...

Jamani si mkae chini mtengeneze album? am sure logistics can work out even though mnaweza kua mko mbalimbali. God bless u.

A very close friend said...

i like that, new PV member by marriage...
is there any one who is still single?
its a shortcut for membership....!

Live long Mr& Mrs Gee.

shalom broz productions said...

To very Close friend, only 2 members of the group are married, the remaining 3 are still single. Please contact us for using the numbers provided sebuleni hapo for more information!!

A very close friend said...

will do soon, asante kwa information..
please msizime simu zenu, na mzichaji zijae (ninyi ambao hamjaoa), maana maongezi yanaweza kuwa marefu.
Mungu awabariki. inapendeza tukifurahi.

shalom broz productions said...

Mimi kama msimamizi wa zoezi hili ninasubiri kwa hamu sana simu yako...maana inaonesha kuna neema unaileta kwenye group!!

Na kwako mpendwa uliyeuliza kama tutoe album, ni kweli hilo jambo liko mawazoni mwetu na tunafikiria tufanye hivyo siku za karibuni sana. endelea kutuombea na tutafanya hivyo. Asante sana kwa concern yako.
-Gee.

john said...

tunaomba tuwekee kaclip mnaimba tusikilize . barikiwa