Tafuta/Search This Blog

Wednesday, November 10, 2010

Blandina na Tusiime!

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa!!! Dada Blandina na kaka Tusiime hatimaye wafunga pingu za maisha na kuyaanza rasmi maisha ya ndoa siku ya jumamosi tarehe 6 Nov. Arusi yao ilifungwa katika kanisa la KKKT usharika wa mjini kati Arusha na kufuatiwa na sherehe ya ukweli katika ukumbi wa Triple A. Mapicha ndio haya!!

Tabasamu la matumaini kabla ya kuingia ukumbini!






Tusiime



Blandy.




Testing the muscles!!




Mambo ya keki!










Sasa hapa ni mambo ya ku dance kwa kwenda mbele!!



Kaka Gee akiserebuka na mama wa Blandina.




Kaka Gee na wife wakiwakilisha SBP ndani ya mjengo!
Familia nzima ya SBP inawatakia maisha mema sana ya ndoa marafiki zetu Tusiime na Blandina.

2 comments:

Sam said...

Hongera dada Blandina na Mheshimiwa Tusiime Mungu awajalie maisha yenye Baraka na Amani teleeeee! Shalom

Anonymous said...

May God bless u na pia awawezeshe na maisha ya amani na awabarikie watoto makumi na mamia.