Tafuta/Search This Blog

Friday, September 6, 2013

Tanzania VS Rwanda.... SULUHU HII IWE YA KUDUMU.

Maneno ya Rais wetu Mh, Jakaya Mrisho Kikwete kuhusu Rwanda
 Alisema....
“Isitoshe, ushauri ule niliutoa pia kwa serikali za DRC, na Uganda. Katika mkutano ule Rais Museveni wa Uganda aliunga mkono kauli yangu.
Rais Kagame hakusema chochote pale mkutanoni. Baada ya kurudi nyumbani ndipo tukaanza kusikia maneno tuliyosikia na tunayoendelea kusikia.
“Kwa upande wangu sijasema lolote kuhusu Rwanda pamoja na maneno mengi ya matusi na kejeli yanayotoka kwenye vinywa vya viongozi wa Rwanda dhidi yangu. “Si kwamba siambiwi yanayosemwa au sijui kusema au sina la kusema, la hasha, sijafanya hivyo kwa sababu sioni faida yake,” 

Sitamani Kagame afanye haya tenaaaaaaaaaaaa. yaani baada ya kikao aende kuongea chochote huko kwao.

No comments: