Tafuta/Search This Blog

Monday, August 25, 2008

Arusi yenyewe sasa!!






Ndugu zetu wapendwa haya ndio mambo ya arusi yalivyokuwa. Arusi ilifungwa katika kanisa la Tanzania Assemblies of God, Kigogo Mburahati.


Mambo ya mitoko na vivazi siku hiyo ilikuwa ni rangi nyekundu na nyeusi tu!! Kama unavyoona!


Onyo: Hao wadada wanaosindikiza nasikia wana wenyewe!! Sisi hatuna uhakika lakini. Ukitaka mawasiliano nao usisite kutuuliza!

3 comments:

Anonymous said...

bora umesema kuwa ni madada tu ndio wana wenyewe... mi nshamzimia tangij aka joshua... yuko poa sana. kama vipi nipe niseme naye.. uatajiju.. halafu tuwekeeni wasifu wenu nyie kama wadau wa hili libeneke la shalom broz! mnatuvutia sana. mm Mungu huyu! wengine na maono yamekuja hapahapa.

Anonymous said...

Picha ni nzuri. Mungu awape furaha wakati wote!

Anonymous said...

Lookin good goodlove...