Tafuta/Search This Blog

Monday, August 25, 2008

Wakakaz. Joshua na Godlove ndani ya majumba meusi.
Wasimamidhi wa arusi na ndugu wenyewe.
Kitu kimoja ambacho tutakimiss sana kwa huyo dada yetu ni uwezo wake wa kuimba na kutunga nyimbo. She is very good! Hapa alipata nafasi ya kumrudishia Mungu utukufu kwa kuimba wimbo mmoja na wasimamizi wake. Mambo ya hisia kali!


Mwalimua wa Kwaya. Bwana Shem mambo haya kidogo yanampiga chenga. bado kidogo angeanguka alipojaribu kucheza steps!


wadada hao!!.....Wameolewa!!

No comments: