Tafuta/Search This Blog

Monday, August 18, 2008

chereko chereko

Ijumaa ya tarehe 15/08 ilikuwa ni send off ya dada yetu mpendwa Esther Shonge ambaye ameolewa tarehe 17/08. Bado tunajitahidi kuziweka picha za sherehe hizo kwenye hii blogu kwa sasa tuna matatizo kidogo ya kiufundi lakini timu ya mafundi wetu wanalifanyia kazi suala hili na baada ya muda mfupi mambo yatakuwa sawa!!

-Shalom Broz.

No comments: