Tafuta/Search This Blog

Sunday, August 31, 2008

Karibuni!!

Ndugu wapendwa tunapenda kuwa taarifu kwamba kuanzia sasa unaweza kutuma picha zako na taarifa zozote zile na sisi hautasita kuzipublish katika hii blogu yetu. Jamani msiatuache peke yetu tunahitaji maoni na michango yenu mbalimbali.

Tuma picha na vitu vyote unavyoona ni productive kwa kupitia emails zifuatazo; godlovegordon@gmail.com, enson79@yahoo.co.uk na tangij@yahoo.com.

Unaweza pia kutupata katika namba zifuatazo za simu; 0784 494906, 0784 992221 na 0756 025428. kwa wale mlio nje ya nchi msisahau kuanza na +255.

Tunawapenda sana!!

-Shalom Broz Productions.

No comments: