Tafuta/Search This Blog

Thursday, August 21, 2008

Chereko chereko!!





Haya ndio mambo ya hiyo siku ya send off na hapo ndio dada yetu anawasili na kuanza safari yake ya kutuacha.....

Kaka Godlove akiwa na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi pamoja na MC wa shughuli hiyo katika picha ya chini kabisa.

Hapo katikati dada yetu akiwa na huyo mtuhumiwa na hao waliowasindikiza!!

No comments: