Tafuta/Search This Blog

Tuesday, August 26, 2008

Mwisho kabisa.

Kuna wakati ilibidi kufuta machozi maana kuna ka uchungu kakiaina kanakuwepo unapotakiwa kuiacha familia na hasa ndugu wazuri kama Shalom broz!! Sista alikuwa analia pale mwishomwishoni!
Duh lakini Bwana Shem naona sijui ndio ameweka pozi gani hapa....

Na hadithi ikaishia hapo. Sisi Shalom Broz tunawatakia maisha mema ya baraka huko muendako. Mpate watoto na sisi tupate wajomba.

Tummogele tummogele.....tummogeleeeeeeeee!!!

Picha zote zimepigwa na Enson na TangiJ.

Tafadhali usitumie picha hizi bila kibali chetu... ni afadhali utuombe na tutakutumia nzuri katika inbox yako.

Tahadhari: WAKAIDI WOOOTE TUTAWALOGA!!

2 comments:

Anonymous said...

Mnatisha mazee, natamani nijiunge na nyie katka hili likazi lenu. Maneno ya Elizabrth Kayoka kama nilivyo yanukulu. Enson.

Anonymous said...

Hongera dada Esther.. Umemeremeta!!
Ni mimi Anonymous