Tafuta/Search This Blog

Monday, April 27, 2009

CONFERENCE BIRMINGHAM


Ndugu, Jamaa na Marafiki,Tunapenda kuwakaribisha kwenye conference ya neno la Mungu itakayohudumiwa na watumishi wa Mungu CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE toka Tanzania.


Conference hii ya namna ya kipekee kabisa na yenye ujumbe maalum kwa wakati huu na majira haya tunayoishi kwa kila mtu itafanyika Birmingham, AL USA Mei 22 - 24, 2009.


Mungu amekuwa akiwatumia hawa watumishi ndani na nje ya nchi kwa Upako na wengi wamefunguliwa,kuponywa na kutiwa moyo kupitia huduma hii.

No comments: