Tafuta/Search This Blog

Tuesday, April 28, 2009

Kwa Watu wa ARUSHA TUU!!


Hivi ndivyo inavyokuwa jioni ya Arusha. Watu wanarejea makwao mji unaanza kuwa na watu wachache na anga linakuwa na mawingu ya kupendeza.
THIS IS OUR BEAUTIFUL ARUSHA, THE GENEVA OF AFRICA!!

No comments: