Tafuta/Search This Blog

Thursday, April 16, 2009

Kuchimba DAWA porini ni Halali au Haramu?

Kwanini tuchimbe dawa porini? au ni janja ya watu fulani? Kwanini tusichimbie ktk sehemu za kuwekea mafuta? kwani huko kuna vyumba vya choo. Jiulize kisha nijibu.
Unacheki, sehemu hata haina miti. Eti watu wa jinsia zote tuchimbe dawa hapo! Mwe! Sema wewe.


No comments: