Tafuta/Search This Blog

Thursday, April 9, 2009

Mimi sielewi! Kwanini Hapa pako hivi????????

Nyuma ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbilitena ni nyuma ya Jengo la Watoto, kuna madimbwi haya ambayo unaweza usiamini ukiyaona.
Madimbwi haya yapo miaka nenda rudi. Haijawahi kutokea yakapatiwa ufumbuzi
Pembeni ni majumba ya watu wenye pesa zao, kwa mbali ni Richmond tower na nyumba nyingine za vibosile. kwanini mbambo haya kuachwa hivi?

No comments: