Tafuta/Search This Blog

Tuesday, April 21, 2009

UCHUMI TUNAUKALIA

JAMANI HUKU KWETU KULIVYOKUWA NA MAJOKA NA KILA SIKU YANAJERUHI AU KUUA WATU. SANA SANA WATU WACHACHE WAMEYATUMIA MAJOKA HAYO KWENYE NGOMA! HEBU ONA KWA WENZETU!
NYAMA YAO INAONEKANA KAMA TAMU VILE!!












SHIDA YAO NI HIZO NGOZI!
TUCHANGAMKE JAMANI!!



Picha hizi na habari hii nimekutana nayo kwa blogger mwingine anayeitwa SUMO.

No comments: