Tafuta/Search This Blog

Tuesday, February 23, 2010

Kama ni wewe unafanyaje??

Ni asubuhi na umeshapanga safari, huna pesa (Cash) lakini una card ya bank na account yako ina pesa za kutosha kabisa. unategemea ukifika
karibu na kituo cha bus uchukue pesa kwa ajili ya nauli na matumizi ya safarini. Unaingia kwenye ATM machine na unakutana na hayo maneno (TEMPORARILY OUT OF SERVICE)...
huna hata nauli ya daladala ya kurudia nyumbani ili ukajipange upya...UTAFANYA NINI??

No comments: