Tafuta/Search This Blog

Monday, February 22, 2010

Siku ya wamama (WWK) Calvary Temple.

Kama kawaida ya makanisa ya Assemblies of God ulimwenguni kote, kila mwaka kunakuwa na siku ya wamama ambapo wanapata nafasi ya kudisplay mambo wanayofanya wakiwa katika umoja wao. Jana wamama/wanawake wa kanisa la Calvary temple walishrehekea siku yao. Hizi ni baadhi ya picha.


Mchungaji Journey Kombe anayesimamia huduma ya wanawake akiwa katika mstari wa kwaya pamoja na wanawake wengine.



Kwaya ya injili ya wamasai on the stage!



Mchungaji kiongozi Rev WB Kimaro akimwombea Mrs Mercy Munisi kabla hajatoa neno.

Na hili ndio neno la Mungu.


viatu hivi pia vilikuwepo kanisani jana!

No comments: