Tafuta/Search This Blog

Thursday, February 11, 2010

SWALI. HUKU NDIKO KUIPIGANIA IMANI?


Askofu Zakary Kakobe akiteta na waandishi wa habari nje ya viwanja vya kanisa lake la Full Gospel Bible Felowship Mwenge jijini Dar es Salaam. Naamini issue hii unaijua vizuri, taarifa za hivi karibuni zinasema wapo tayari kufa au kuendelea kuishi ili TANESCO wasipitishe umeme hapo.

4 comments:

Subi Nukta said...

"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" - Hosea 4:6

Alexander Benedicto said...

Ni Kweli tatizo la Kutokukubaliana hawa watendaji wa Tanesco ni kwa sababu za Biashara.
Tumuombe Mungu atupe neno la Hekima katika hili kuliko kukaa tunarumbana, kupitia vyombo vya habari.

Anonymous said...

Kama nyie Mna hekima mbona mnaendeleza malumbano kwenye blog tena?.
Wakati mwingine inabidi kumjengea Mungu huku mkono mwingine umeshika silaha. Si kila kitu ni maombi. Yesu angeomba wanyang'anyi wapigwe na malaika!!!!!!!!!????.

shalom broz productions said...

Anonymous, sio kwamba tunaendeleza malumbano. Sisi tunaweka tu suala hili kwenye uwanja na kila mtu anatoa maoni yake kutokana na vile anavyotaka na kuona ni sawa. Na pia sio kwamba sisi tuna hekima sana bali tunapenda kujifunza sana na asante sana kwa kusema hivi maana pia tumejifunza.
Asante.