Tafuta/Search This Blog

Wednesday, February 24, 2010

OPENING OF AAR NEW CLINIC IN ARUSHA

AAR wamefungua clinic mpya hapa Arusha katika jengo la Hospitali mpya ya Selian kwa ajili ya kuwafikia kwa karibu zaidi wateja wao. Kilimanjaro Aviation ni mmoja kati ya wadau wa AAR na iliwakilishwa na kaka Hussein Qubah. Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Wadau wa AAR Arusha pamoja na kaka Hussein Qubah (mrefu zaidi) wakipozi kwa ajili ya picha
Wadau wakisikiliza hotuba ya ufunguzi.


Mwanzilishi wa AAR akiwa na baadhi ya viongozi .


Wafanyakazi wa AAR. very smart kwa kweli.
Picha kwa hisani ya kaka Hussein Qubah wa Kilimanjaro Aviation.

No comments: