Tafuta/Search This Blog

Monday, May 31, 2010

Historia HAIJIRUDII. Stanley na Jennifer wamefungua ukurasa katika kitabu cha Historia jana 30 May 2010


Stanley Nicodemus
Jennifer George




Ndugu wakaribu wa Stanley. Linna, Shangwe na Angel.






Joseph Msami, MC maarufu wa miondoko ya Furuuuuuuuuuuuuuuuu! alipamba shamrashamra za Engagement Party hiyo.






UMMMMATI wa mashabiki ukishangilia kwa kugonga mikono katika kanisa la TFC ambapo wawili hawa walivishana pete kuutangazia uma kuwa wao ni wachumba.
"........sasa mbele ya umati huu, ninatangaza kuwa Jennifer ni Mchumba wangu niliye mchagua na kuhakikisha kwa MUNGU kuwa ni wangu"



Baada ya maneno hayo ya kujiamini Stanley alifanya vitendo vifuatavyo kwa kujiamini zaidi....



*



*



*



*



*



Alichomeka mkono ndani ya koti lake lenye nakshi za kisasa saaana (la ki dot com)
****Akatwaa pete nzuri ajabu.......




Akamvisha Jennifer hadharani kama unavyoweza kuona.


Kitu ndio hiki sasa. Mkono wa Jennifer ukipendezeshwa zaidi na pete ya Uchumba kutoka kwa Stanley..





Stanley alipigwa butwaaa baada ya kupewa zawadi kubwa ya ua zuuuuri.


Habari ndiyo hiyoo!!
Stan akiwa na Mchungaji wake wa Seli Mrs Samwel Temba

Jennifer akiwa na Mchungaji wake wa Seli.


Furaha.


Akipandishwa jukwaani

Stanley akimsifu Bwana kwa matendo makuu aliyofanya.

Sunday, May 30, 2010

Sasa ni zamu ya Kaka Raphael

Yametimia!! Aliyekuwa mmoja kati ya mabachela wakubwa wa Compassion International Tanzania, makao makuu Arusha kaka Raphael joachim Lyela hatimaye ameoa!!! Amemuoa dada Angel. Arusi yao ilifungwa katika kanisa la EAGT Elerai Arusha na sherehe kufanyikia Lush Garden. SBP kama kawaida tulizamia kwenye mnuso huu uliofanyika jumamosi ya tarehe 29 May 2010. Mapicha ndio haya!
Kaka mkubwa akitoa utambulisho.
Shemeji naye akitambulisha wa kwao.
Aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe!!
Baba mzazi wa Raphael, kaka Joachim Lyela akiwa makini kwenye sherehe.
Kwenye mitambo alikuwepo Papaa Jojo Jose Mwakajila, fullu sebene!!
Uso wa matumaini!
Keki na ukataji wake.
Kama unavyoona...
Yaonesha ilikuwa tamu sana maana imefumbiwa macho kabisa.
Mkurugenzi mkuu wa compassion International Tanzania, ndg Mayala akitoa nasaha zake kwa vijana wake.
Baada ya nasaha alipewa zawadi ya keki.
Wafanyakazi wa CIT wakielekea kumpongeza mwenzao.
Raphael anapenda sana vijana na hapa vijana wa EAGT Elerai wakielekea kumpongeza kaka yao.
Waliosoma na Raphael Mzumbe wakiwa na zawadi yao. Inasemekana kwamba raphel alipokuwa chuoni alikuwa napenda sana miwa. Bila hiyana walimletea mzigo mzima wa miwa ili asiwe mpweke sana kwenye honeymoon.
Bwana arusi akiwa na muwa wake wa kuanzia honeymoon.
Msosi time.
SBP iliwakilishwa na kaka Gee, na hapa ni katika meza ya maakuli!!
Eating is a very serious business!!
Marafiki wa Bwana Arusi .

Bwana arusi akirudi sebene pamoja na marafiki zake wa karibu, Patrick Mosha, Nsangalufu na Andrew Msegu. Hii ni baada ya kula!! Unaanzia kushoto....
...Unamalizia kulia!!!
Kamati iliyofanikisha mambo yote ya siku hii. pongezi kwenu.


Waleeee....
SBP inawatakia maisha mema yenye baraka nyingi za Mungu na mpate watoto jamani wawili watatu tufurahi tena pamoja. SBP pia inawatumia salamu nyingi kaka Andrew Msegu wa CIT pamoja na kaka Nsangalufu wa KINAPA. Tunawasihi muinue macho yenu juuu mkayaone mavuno yako tayari!!! Amen!!

Wednesday, May 26, 2010

Angel's Sendoff Party.

Angel akiwa anaagwa na wanafamilia ya Dudu...
Raphael Joachim Lyela, Bwana arusi mtarajiwa akiwa katika pozi la kutambulishwa.




Mama mzaa chema.



Pozi la kanga...








Mjadala...


Wakubwa wakijadiliana, hapaharibiki neno!
Marafiki, Boniface, Mlingi na Muro.

Monday, May 24, 2010

Calvary Temple Development Complex



Mambo yanaendelea na mjengo umeshaanza kutokezea! Badotunahitaji maombi yako lakini pia kama utapenda kushiriki kwenye ujenzi huu wa kihistoria wa nyumba ya ibada, unaweza tu ukawasiliana nasi na sisi tutakupa mawasiliano ya wahusika.
Mungu akubariki!