Tafuta/Search This Blog

Monday, May 31, 2010

Historia HAIJIRUDII. Stanley na Jennifer wamefungua ukurasa katika kitabu cha Historia jana 30 May 2010


Stanley Nicodemus
Jennifer George




Ndugu wakaribu wa Stanley. Linna, Shangwe na Angel.






Joseph Msami, MC maarufu wa miondoko ya Furuuuuuuuuuuuuuuuu! alipamba shamrashamra za Engagement Party hiyo.






UMMMMATI wa mashabiki ukishangilia kwa kugonga mikono katika kanisa la TFC ambapo wawili hawa walivishana pete kuutangazia uma kuwa wao ni wachumba.

2 comments:

Anonymous said...

Jamani inaonesha ilikua nzuri sana. Stanley na Jennifer endeleeni kupendana. Mith 3:5-6 muikumbuke. Epukeni watu kama hao hapo nyuma ya microphone

Anonymous said...

Stanley and Jenny gal...I know i wasn't around but was in prayers with you.You look so lovely what comes from God is sure lovely.I wish you the very best in this journey and jenny ukija Ingo mpaka ing'oho kachinjwe!
with love
Immaculate