Tafuta/Search This Blog

Monday, May 31, 2010

"........sasa mbele ya umati huu, ninatangaza kuwa Jennifer ni Mchumba wangu niliye mchagua na kuhakikisha kwa MUNGU kuwa ni wangu"



Baada ya maneno hayo ya kujiamini Stanley alifanya vitendo vifuatavyo kwa kujiamini zaidi....



*



*



*



*



*



Alichomeka mkono ndani ya koti lake lenye nakshi za kisasa saaana (la ki dot com)
****Akatwaa pete nzuri ajabu.......




Akamvisha Jennifer hadharani kama unavyoweza kuona.


Kitu ndio hiki sasa. Mkono wa Jennifer ukipendezeshwa zaidi na pete ya Uchumba kutoka kwa Stanley..





Stanley alipigwa butwaaa baada ya kupewa zawadi kubwa ya ua zuuuuri.


Habari ndiyo hiyoo!!

2 comments:

Anonymous said...

kaka Barikiwa sana kwa kitendo cha ushujaa kutangaza kuwa katika mabint wote umemuona huyu tu na Mungu akupe neema hiyo na pia ulinzi wake katika mahusiano yenu pia kuwafanikisha katika mipango yenu yote mkiamini kuwa yote yanawezekana katika yeye atutiaye nguvu.
KAKA MBONA HUKUNIALIKA NAJUMAMOSI TULIONANA?

Anonymous said...

BIG UP Jeniffer hongera sana my friend. nimependa hilo ua. Mungu awabariki sana. nice bond. mama hiyo nyumba itakua injili motomoto! aliyewaanzishia safari hiyo na awafikishe salama. AMEN!