"........sasa mbele ya umati huu, ninatangaza kuwa Jennifer ni Mchumba wangu niliye mchagua na kuhakikisha kwa MUNGU kuwa ni wangu"Baada ya maneno hayo ya kujiamini Stanley alifanya vitendo vifuatavyo kwa kujiamini zaidi....
*
*
*
*
*
****Akatwaa pete nzuri ajabu.......

Habari ndiyo hiyoo!!
2 comments:
kaka Barikiwa sana kwa kitendo cha ushujaa kutangaza kuwa katika mabint wote umemuona huyu tu na Mungu akupe neema hiyo na pia ulinzi wake katika mahusiano yenu pia kuwafanikisha katika mipango yenu yote mkiamini kuwa yote yanawezekana katika yeye atutiaye nguvu.
KAKA MBONA HUKUNIALIKA NAJUMAMOSI TULIONANA?
BIG UP Jeniffer hongera sana my friend. nimependa hilo ua. Mungu awabariki sana. nice bond. mama hiyo nyumba itakua injili motomoto! aliyewaanzishia safari hiyo na awafikishe salama. AMEN!
Post a Comment