This is a production house where you will meet talented young men producing Video and graphic designing! SBP ina wataalamu wafuatao: Enson Msuya - Video and imagery specialist, marketing. Godlove Lwendo - Graphic Designer. You can contact us by these numbers, +255 784 494906, +255 756 025428 We will be more than ready to serve you for any of the service you will need from us as we have described them thereup.
Tafuta/Search This Blog
Sunday, August 31, 2008
Karibuni!!
Tuma picha na vitu vyote unavyoona ni productive kwa kupitia emails zifuatazo; godlovegordon@gmail.com, enson79@yahoo.co.uk na tangij@yahoo.com.
Unaweza pia kutupata katika namba zifuatazo za simu; 0784 494906, 0784 992221 na 0756 025428. kwa wale mlio nje ya nchi msisahau kuanza na +255.
Tunawapenda sana!!
-Shalom Broz Productions.
Wednesday, August 27, 2008
Tuesday, August 26, 2008
Mwisho kabisa.
Duh lakini Bwana Shem naona sijui ndio ameweka pozi gani hapa....
Na hadithi ikaishia hapo. Sisi Shalom Broz tunawatakia maisha mema ya baraka huko muendako. Mpate watoto na sisi tupate wajomba.
Tummogele tummogele.....tummogeleeeeeeeee!!!
Picha zote zimepigwa na Enson na TangiJ.
Tafadhali usitumie picha hizi bila kibali chetu... ni afadhali utuombe na tutakutumia nzuri katika inbox yako.
Tahadhari: WAKAIDI WOOOTE TUTAWALOGA!!
Monday, August 25, 2008
Wasimamidhi wa arusi na ndugu wenyewe.
Kitu kimoja ambacho tutakimiss sana kwa huyo dada yetu ni uwezo wake wa kuimba na kutunga nyimbo. She is very good! Hapa alipata nafasi ya kumrudishia Mungu utukufu kwa kuimba wimbo mmoja na wasimamizi wake. Mambo ya hisia kali!
Mwalimua wa Kwaya. Bwana Shem mambo haya kidogo yanampiga chenga. bado kidogo angeanguka alipojaribu kucheza steps!