Tafuta/Search This Blog

Monday, July 13, 2009

Msiba Dar!!

Tunasikitika kutangaza kifo cha mama yetu mkubwa/mdogo Bertha Joseph Temba, mama wa Angel na Lina wa Dar es salaam.
Msiba huu umetokea leo mchana katika Hospitali ya Muhimbili Dar es salam. Huu ni msiba mkubwa sana kwetu sisi SBP. hata hivyo tunaamini kwamba katika mambo yote Mungu hufanya kazi na wale wampendao katika kuwapatia mema yaani wale walioitwa kwa kusudi lake.
Romans 8:28.

2 comments:

Subi Nukta said...

Poleni kwa msiba!
Mungu awe faraja yenu!

shalom broz productions said...

Asante sana dada Subi, Mungu akubariki kwa kujali