Tafuta/Search This Blog

Wednesday, July 22, 2009

Amphibious tour vehicle!!

Kushangaa sio dhambi!!


Abiria wanapanda, (Boarding)


Safari ya nchi kavu inaanza


Safari inaendelea na bahari inaonekana kwa mbali, gari linaanza kutamani maji, linayafuata..


Dumbwii, kwenye maji na safari inaendelea!

Safari imekwisha na gari linarejea nchi kavu.



Hili sijui niliite gari au boti linapatikana huko San Diego. Kama ambavyo umeona linaweza kutembea kwenye nchi kavu na hata likiingia kwenye maji safari inaendelea. Natamani lingekuja Tanzania na hasa Dar es Salaam. Lazima kungekuwa na route ya Gongo La mboto - Kigamboni!!
Dada Subi upo hapo???

1 comment:

Mzee wa Taratibu said...

Hili gari linafaa sana kwa Bongo.