Tafuta/Search This Blog

Monday, July 13, 2009

Body Building or shape destroying????

Nilitaka kuanaza mazoezi ya body building lakini baada ya kuona hii picha...


NIMEAMUA KUACHA TUUUU!!


2 comments:

Anonymous said...

Ni aina ya ugonjwa wa akili kama walivyo wagonjwa wa madawa ya kulevya na wagonjwa wengine wa akili, wanakaugonjwa ka kupenda kujenga miili. Mwili jengo? Huyo akiwemo nyumbani lazima niwe wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka kwa usalama wangu.

shalom broz productions said...

Sasa akiwa ndio mumeo au mke maana kuna wanawake wanajenga miili kama huyo jamaa. Sikujua kuwa niaina falni ya ugonjwa. nadhani inakupasa kuutafutia kurasa katika gazeti letu la kwanza jamii na kutuelimisha.