Tafuta/Search This Blog

Monday, July 20, 2009

Safari ya mwisho ya Bertha R. Msuya.


Baada ya kufariki Dar es salaam, Mama yetu mkubwa/mdogo tarehe 13/07 hatimaye alizikwa tarehe 17/07 huko Kisanjuni Msangeni katika wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo ambalo tunamshukuru Mungu lilikwisha salama kabisa.



As if she is just sleeping and will wake up later. Our aunt was so beautiful!


Grandpa and Uncle.


Mama zetu pamoja na watoto wa Marehemu wakifarijiana wakati wa ibada


Wa kwanza kuzaliwa katika familia ya Joseph Temba.


Wa pili, Uncle Samuel


Wa tatu, Mama Nasemba


Wa tano, mama Happy.


Wa sita, mama Frida

Wa saba, Mama mdogo Beatrice.

Wa nane, Mama mdogo Shangwe.

Kitinda mimba, Uncle Goodluck


Mtoto wa pili wa Marehemu, dada Paulina.
Kitinda mimba wa marehemu, Dada Angel.

Babu during funeral service.

Brothers, mkubwa na mdogo wakiwa wameshika shalom(camera) zao





Wachungaji wakiongoza ibada
Safari ya kwenda kuuhifadhi mwili, kaburini.









Mavimbini ulitoka na mavumbini utarudi...
Angel na Lina wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yao.
mama zetu wakiweka mashada kwenye kaburi la dada yao.
Angel na Lina

Familia katika kaburi.
kaka Star.
Enson wa SBP pamoja na dada zetu.

Namba 73 pia ilikuwepo!


mama Shama alikuwepo na hapa anajitahidi kupata taswira kwa ajili ya kumbukumbu.


Shalom Broz Productions kazini. Hii inaonyesha uzoefu. Multitasking
Na Mwisho kabisa
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
Tulikutana na huyu jamaa ambaye yeye alikuja msibani kwa sababu moja tuu.....KULA! Alikula chakula kingi mno kuliko ambavyo unaweza ukadhania, alimaliza sinia kama hizo anazotumia 2, ilibidi SBP ifanye mahojiano ya ghafla na kutambua kwamba jamaa ni maarufu sana na huwa hapitwi na hafala yeyote hapo kijijini.
Tumewakilisha!!

1 comment:

Anonymous said...

Poleni sana kwa msiba.
Apumzike pema marehemu.
Aliyefadhiliwa chakula, na ale tu kwa kuwa kipo, ni faraja kukarimu wengine! Wacha ajichane!