Our beautiful Mountain, Kilimanjaro, picha imepigwa jumamosi 18/07 nikiwa maeneo ya Soweto na muda ni kama 6:15pm.
Our beautiful land. Nimepiga kupitia kioo cha mbele cha bus. Beautiful young Tanzanians wanaonekana wanakwenda shule zamu ya mchana baada ya lunch nyumbani kwao.
Na mwishowe hii...
*
*
*
Our beautiful daladalas, you are free to do any thing while inside a daladala. Unaweza ukaona huyu mTZ akiwa amelala na miguu imetokezea nje katika dirisha na hii daladala ilikuwa mbele yangu tena katika mwendo tu wa ukweli...*
*
I LOVE TANZANIA!
No comments:
Post a Comment