Tafuta/Search This Blog

Monday, September 28, 2009

Irene Munisi

Tarehe 24 September ilikuwa ni siku ya dada yetu Irene kuhitimu masomo yake ya shule ya upili katika shule ya upili ya Arusha. Aliitumia fursa hiyo kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kumaliza miaka 4 bila matata yeyote hata kama kulikuwa na changamoto ndogondogo za kibinadamu. Zifuatazo ni baadhi ya picha katika matukio yaliyofuatana na tukio hilo.

Irene - Full uniform!!


Wazazi wa Irene, Mr and Mrs Munisi.

Mama mdogo wa Irene, Mrs. Jane Kombe.




mama na mwana!
Na mwisho kabisa...
*
*
*
*
*
*
**
***
****
*****
****
**
wazamiaji huwa hawakosekani, na hukaa viti vya mbele na kula keki kubwa!!!!

Iga ufe!!

SBP inamtakia Irene mafanikio katika maisha yake ya kielimu na hasa katika mtihani wake wa kumaliza masomo ya shule ya upili!

NB: Victor Makere, Ian Kakore na Enock Makere pia walikuwepo lakini walikaa mbali na camera!

3 comments:

http://nukta77.blogspot.com said...

Hongera kwa hatua hii Irene!
Hongera kwa wazazi, walezi na walimu wa Irene!

MercyGrace said...

Hongera Irene!! G, has Irene finished her exams? i wish her all the best..

shalom broz productions said...

Irene anaanza mitihani jumatatu ya tarehe 5 october. Anahitaji maombi yako.