Tafuta/Search This Blog

Monday, September 21, 2009

FARAJA SEMINARY

Weekend hii iliyopita SBP ilitembea shule ya upili ya Faraja. Na hapa ni baadhi ya picha za huko...


Bango la shule kutoka hapa mpaka shuleni ni kama 1km.


Njiani


Ndani ya shule, miti kibao...



Watoto wakiwa chini ya miti wakijisomea!



Katika madarasa,










Jikoni




Wapishi wakiandaa misosi!





Wanafunzi, wako smart!!




Ukumbi mpya wa chakula (DH) katika matengenezo.





Kwa ndani.






Upande wa miradi, bustani ya mboga na mabanda ya kuku mayai.




Mayai tayari kwa kwenda kwa wateja.





Domitory









Wanafunzi dukani
Kwa kweli tunapenda kuupongeza uongozi wa shule hii na chama cha wanawake wa kanisa la TAG ambao ndio wamiliki wa shule hii kwa mikakati na maendeleo ya seminary hii.
Shukrani za pekee ziwafikie wafuatao: Mwalimu Maggie Seuya, Dada Josephine, Kaka Asagwile, kaka Elias, kaka Martin, waalimu wote na wafanyakazi wote wa shule.

No comments: