Tafuta/Search This Blog

Sunday, September 27, 2009

Mama na mwana!!



Nyumbani kwa kaka Leonard Swai na dada Grace kumezaliwa mtoto wa kike ambaye kwa hekima kubwa wazazi wake wamempa jina la Annick.

Jumapili ya tarehe 20 September mtoto huyo aliwekwa wakfu (dedicated to God) kanisani Calvary Temple.

Sisi SPB tunawapongeza sana kwa kupata mtoto na tunamwombea maisha marefu na makuzi ya uadilifu na afya njema.

No comments: