Tafuta/Search This Blog

Monday, September 7, 2009

Umewahi kula kande za kiukweli??

Hizi picha ni mahsusi kwa wale mliokulia mjini ambao hamjui kande na hata majiko ya huko pande za vijijini.
Hapa ndio moto umeshakubali kinasubiriwa chungu kiwekwe tu!!




Chungu motoni

unaweza ukaona mvuke unavyotoka kwenye chungu...
Hya umekumbuka nini baada ya kuona picha hizi?? Please share your experience!!

1 comment:

Anonymous said...

Duuuuu longi ile mbayaaaaaa! kipindi tunakwenda kwa Babu na bibi.