Tafuta/Search This Blog

Sunday, September 6, 2009

Mtaji wa maskini...


Nimekutana na huyu mama akijitafutia mkate wake wa kila siku. Inatia moyo sana kuona mama kama huyu akijibidiisha katika kazi na inatia aibu sana unapoona vijana wakiwa wanazembea na kuomba misaada tu!!
Maeneo ya Usa River, Arusha.

No comments: