Tafuta/Search This Blog

Tuesday, September 15, 2009

Katuni ya ukweli sana!

Hii katuni ya Kipanya ni moja kati ya katuni zilizonifurahisha sana kabisa. Sijui viongozi wa serikali yetu huwa wanapitia hizi katuni?? Natamani wale jamaa wanaohusika na ubinafsishaji na mambo ya uwekezaji wangeiona hii katuni. Kama kweli baadhi ya wawekezaji ni washirikina basi waliologwa ni wao. SHAME ON THEM! Watu wanapewa dhamana ya kuisaidia nchi yetu maskini lakini kwa tamaa zao wanaingia mikataba mibovu... haya ndio matokeo yake. Natamani ningepata nafasi ya kuwa juu ya watu kama hawa hata kwa siku moja tu...nakwambia kusingekuwa na kesi, ni hukumu tuuuu... Mungu ibariki Tanzania, na tunakuomba usifumbie macho wale watu wenye tamaa, uwaadhirishe!!!



1 comment:

Anonymous said...

I have just received this e mail from someone. Thought that I should post it here. Is there anyone with a similar story or experience?

Friends,
Please be careful when going to Dar-es-salaam.
There is new scam just started to steal passports in the last few days. After Visa and Immigration when you go through to customs they ask to see you passport. When you hand them your passport they give it to a person near them who takes it and runs straight out of the building. This is planted so you cannot even run behind them and catch them.
Suggest you hold your own passport and just show it to them, refuse to hand over your passport to customs- ... also make few photo copies too !

Please forward this email to anyone who is likely to be going to DAR soon