Dont miss your copy, tayari lipo mtaani. Tshs 5000, Kshs 600, Ushs 8000 and $4.
Strictly Gospel, its all about the Gospel, foget the rest!!
This is a production house where you will meet talented young men producing Video and graphic designing! SBP ina wataalamu wafuatao: Enson Msuya - Video and imagery specialist, marketing. Godlove Lwendo - Graphic Designer. You can contact us by these numbers, +255 784 494906, +255 756 025428 We will be more than ready to serve you for any of the service you will need from us as we have described them thereup.
Tafuta/Search This Blog
Friday, November 27, 2009
Thursday, November 26, 2009
Wednesday, November 25, 2009
Upareni
Praise and Worship evening with Tolla G
Kaka yetu Tolla G, amekuwa na maono ya kufanya ibada ya kuabudu na kumsifu Mungu itakayojumuisha marafiki zake na watu wote wa manispaa ya Arusha. Na kwa mapenzi ya Mungu ibada hiyo ilifanyika jumapili jioni ya tarehe 22 Nov 2009. Kwa kweli tulimwona Mungu. Zifuatazo ni baadhi ya picha katika tukio hilo la kihistoria.
Neno la ufunguzi kutoka kwa kaka Gee.
Friday, November 20, 2009
Arusha MP 2010 and H.E President of Tanzania 2020, Godbless Lema.
Huyu ni Godbless Lema. Kijana wa kiTanzania mwenye maono na uchungu na nchi yake. Anaamini kuwa atakuwa mbunge wa Arusha wa mwaka 2010 na pia anategemea na anaamini kuwa atakuwa rais wa Tanzania 2020!!!
Mimi nilipoongea naye kwa kweli alikuwa amejaa hekima nyingi na kwa kweli anazo qualities za uongozi. Wananchi ndio watako amua sisi SBP tunamtakia kila la kheri ili ndoto yake itimie siku moja na awe rais kijana wa Tanzania siku moja.
Pichani mheshimiwa Rais Godbless Lema akiwa na mheshimiwa waziri wa mambo ya nje, kaka Gee. Mambo ya mwaka 2021!!!!!!
Kama hutaki jifungie ofisini mwako usiondoke leo!!
Mimi nilipoongea naye kwa kweli alikuwa amejaa hekima nyingi na kwa kweli anazo qualities za uongozi. Wananchi ndio watako amua sisi SBP tunamtakia kila la kheri ili ndoto yake itimie siku moja na awe rais kijana wa Tanzania siku moja.
Pichani mheshimiwa Rais Godbless Lema akiwa na mheshimiwa waziri wa mambo ya nje, kaka Gee. Mambo ya mwaka 2021!!!!!!
Kama hutaki jifungie ofisini mwako usiondoke leo!!
Jojo Jose Mwakajila
Nilikutana na mtumishi Jojo kwenye tamasha fulani wiki iliyopita. Nafurahia sana anapoimba na kucheza na hasa anapoimba wimbo wa UMEUMBWA UTAWALE.
Mlo wa Jumapili mchana
Thursday, November 19, 2009
Tafakari...
Nilipokuwa natoka Arusha kuja ofisini kwangu KIA juzi, jana na leo nimekuta kuna shughuli nyingi barabarani za kusafisha barabara, kupaka rangi zile alama ambazo zilikuwa zimefifia kama hizi za zebra crossing na ile mistari ya katikati ya barabarani lakini jambo lililo nichekesha ni pale nilipokuta mafundi wanaweka mchanga katikati ya yale matuta aina ya rasta eti kupunguza makali ya hayo matuta kwa ajili ya ugeni VIP uanaotarajiwa kuja hapa nchini leo jioni.
Sasa ndugu zangu mimi jambo linalonipa shida ni kwa nini haya mambo yanasubiri wageni?? Kwani sisi wenyeji hatuhitaji barabara nzuri. Tunatoa kodi za kila aina lakini hawafanyi mambo yanayostahili kuturidhisha. Hii ni sawa na familia inayoweka vitu vizuri kama vyombo vya chakula kabatini hadi siku wakija wageni ndio wanatoa vitumike, kila siku wao wanatumia vyombo vikuu kuu vya plastic!!
Hebu serikali na itafakari kuhusu hili na ifanye mambo mazuri kwa raia wake bila ya kusubiria wageni kwanza....
Tafakari....
Chukua hatua....
NB: Picha hapo juu haihusiani na habari hii.
Tuesday, November 17, 2009
The same Queen Elizabeth of England with Eleven presidents of USA
Queen Elizabeth with Harry S. Truman
Queen Elizabeth with John F. Kennedy
Queen Elizabeth with John F. Kennedy
Queen Elizabeth with Richard Nixon
Queen Elizabeth with Gerald Ford
Queen Elizabeth with Jimmy Carter
Queen Elizabeth with Jimmy Carter
Queen Elizabeth with Ronald Reagan
Queen Elizabeth with George Bush
Queen Elizabeth with Bill Clinton
Queen Elizabeth with Bill Clinton
Subscribe to:
Posts (Atom)