Tafuta/Search This Blog

Wednesday, November 25, 2009

Praise and Worship evening with Tolla G

Kaka yetu Tolla G, amekuwa na maono ya kufanya ibada ya kuabudu na kumsifu Mungu itakayojumuisha marafiki zake na watu wote wa manispaa ya Arusha. Na kwa mapenzi ya Mungu ibada hiyo ilifanyika jumapili jioni ya tarehe 22 Nov 2009. Kwa kweli tulimwona Mungu. Zifuatazo ni baadhi ya picha katika tukio hilo la kihistoria.

Neno la ufunguzi kutoka kwa kaka Gee.


Agape choir kutoka Elerai. Hawa vijana wako vizuri sana!


Hilda F. Sedekia, mtoto wa Fanuel Sedekia pia alikuwepo kumwabudu Mungu pamoja nasi. She is good.


And the praise began... Benson (Lead guitar) Godlove (Bass)



Kaka Jimmy on the keyboard.





Kaka Tolla G leading the praise!




Kaka Andrew singing and dancing.



Sitoki hapa hadi unibariki!!




Yeeeahhh!!




Kujipongeza baada ya kazi ngumu. Kutoka kushoto, Myahudi, Andrew, Tolla G, Hannah, Godlove and Jimmy!
Kusifu kunawapasa wanyofu wa Moyo!!







1 comment:

Anonymous said...

Nimeipenda sana hii, sana, saaana tu!