Tafuta/Search This Blog

Wednesday, November 25, 2009

Upareni

SBP ilipata nafasi ya kutembelea upareni wiki hii. Kulikuwa na mvua nyingi na hali yahewa safi sana. Hebu jionee taswira za huko. Haya ni maeneo ya Mwanga na kijiji cha Lambo.

Maji mengi kutokaka na mvua.

Kijani kibichi!!

Kanisa la kijiji cha Lambo!







Safi sana!



1 comment:

Anonymous said...

Saaafi sana SBP!
Hizi ndizo picha zinazonisababisha niseme, 'Asante Mungu', Taanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo woteeeee. Nchi yangu Tanzania, Jina lako ni tamu sana. Ni lalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama we. Taaanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote!
Hao mafisadi wametuharibia nchi yetu, hawana adabu hata kidogo. Wakitembea wapigwe vibao bila kuona alowapiga hadi akili ziwajie kwenye maubongo yao.