Tafuta/Search This Blog

Thursday, November 12, 2009

BREAKING NEWS!!!!!

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba barabara ya Morogoro - Dodoma katika eneo la Kibaigwa imefungwa kutokana na maji mengi yanayopita katika barabara hiyo. Shuhuda wa tukio hilo ambaye yupo safartini kuelekea Dodoma kaka Enson wa SBP amesema kwamba kuna magari mengi sana na eneo la barabara kama kilometa moja limo ndani ya maji na maji hayo yalianza kupita juu ya barabara hiyo kutokana na mvua kubwa inayonyesha maeneo ya milimani.
Tutaendelea kuwapasha nini kinaendelea.

No comments: