Tafuta/Search This Blog

Thursday, November 5, 2009

Mama na mwana!!

Nimekutana na hawa ndugu nikapenda sana mawasiliano yao...

1. Mwana anatoa hoja, mama anasikiliza kwa makini

2. Hoja haijakubalika so mama anabisha kidogo na mwana anasisitiza.

3. Mwana anatoa sisitizo la nguvu zaidi kuhakikisha hoja yake inapita

4. Mama anakunjua uso na kusikiliza hoja wakati mwana pia anajieleza kwa uso wa huruma zaidi.


5. Hoja inaeleweka na mama anatoa tabasamu!!

Shukrani kwa Dada Neema na mtoto wake Julie.

No comments: