Tafuta/Search This Blog

Monday, November 16, 2009

Mambo yalikua hivi, kabla ya kuingia MAKAO MAKUU YA Nchi yetu DODOMA (DODOMYA)

Msururu wa magari yakisubiri maji yaliyotengeneza Mto mkubwa katikati ya barabara yapite. Ilikua tar 12/11/2009 Maeneo ya Kibaigwa kabla ya kufika Dodoma
Huu ndio mto katikati ya barabara

Baada ya maji kupungua kidogo, magari yalianza kujongea kwa msaada wa watembea kwa miguu.



Tulisubiri takriban masaa mawili na nusu


Gari aina ya FUSO lilippshindwa kuhimili nguvu ya maji na kupinduka. hakuna aliyepoteza maisha,...





1 comment:

Born 2 Suffer said...

Hatari kubwa kwa wasafiri.