Tafuta/Search This Blog

Friday, November 20, 2009

Jojo Jose Mwakajila

Nilikutana na mtumishi Jojo kwenye tamasha fulani wiki iliyopita. Nafurahia sana anapoimba na kucheza na hasa anapoimba wimbo wa UMEUMBWA UTAWALE.

...hapa ni pale anaposema utaingia mbinguni lakini utafika "choka mbaya"



pozi la kutawala!!






Mke wake, Matilda akamjoin kwenye step...





Haya twende...



Yooote haya ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu!!
Mungu akubariki kaka Jojo Jose.

No comments: